RIP Mengi

02-May-2019

#TANZIA Tunasikitika kutangaza kifo cha Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP , DR. REGINALD ABRAHAM MENGI, kilichotokea Dubai, U.A.E, usiku wa kuamkia leo. Mungu ailaze roho ya Marehemu , mahali pema, peponi.

Subcribe breaking news